FAMILIA YA DIAMOND YAFUKUTA, NI KUHUSU NILLAN KUFANANA NA IVAN…DIAMOND ATOKWA POVU

share upate zawadi ya kusafili na wasafi kwenda kuona show zao live

Friday, April 7, 2017

FAMILIA YA DIAMOND YAFUKUTA, NI KUHUSU NILLAN KUFANANA NA IVAN…DIAMOND ATOKWA POVU

KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++


Kuna madai kutoka ndani ya familia ya Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kuwa, mama mzazi wa staa huyo, Sandra Kasim ‘Sanura’ hivi karibuni alifanya kikao kizito na mkaza mwanae, Zarinah Hassan ‘Zari’ kufuatia picha za mtalaka wake, Ivan Semwanga na mtoto wa pili wa Diamond, Nillan ambaye Zari ni mama yake mzazi, kutupiwa mitandanoni na watu kusema wamefanana.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, nia ya mama Diamond ilikuwa ni kutaka kujua nini kimefichika kati ya Zari na Ivan mpaka kunakuwa na ujasiri wa kutupiwa picha za Nillan akiwa sambamba na yeye na Diamond pia.
“Unajua mama siku zote ni mzazi mwenye uchungu sana. Sasa Ivan anachukua picha ya Nillan, anajiunganisha na yeye na Diamond anakuwa pembeni kisha  anatupia kwenye mitandao, watu wanachangia, wanasema mtoto kafanana sana na jamaa huyo.
“Mama anajisikia vibaya, anahisi kama kuna kitu, huenda Zari anakijua hivyo ikabidi amuweke kikao na kumuuliza nini kimefichika baina yao?” kilisema chanzo hicho huku kikiomba hifadhi ya jina. Ikazidi kudaiwa kuwa, katika kikao hicho, mama Diamond alikumbusha kuwa, hii si mara ya kwanza kwa picha za Ivan kuwekwa mitandanoni kwani Zari alipojifungua Latifah ‘Tiffah’ mwaka juzi,  pia picha zake na Ivan ziliwekwa mtandaoni na watu wakaanza kutupia maoni kuwa, wawili hao kama mapacha kabisa!Hata hivyo, chanzo hicho hakikuweza kuweka wazi majibu ya Zari yalikuwa yapi, lakini kufuatia picha hizo, watu wamekuwa wakiweka maoni wakishauri Diamond kujiongeza kwa kusema kuwa, lisemwalo lipo kama halipo linakuja, inakuwaje picha za watoto wake ziwe gumzo kila Zari anapojifungua? Ili kupata ukweli wa madai ya kikao hicho, Amani juzi lilimtafuta mama Diamond kwa njia ya simu ili kumsikia anasemaje kuhusu hilo lakini baada ya kupokea simu na Amani kujitambulisha kwake, alikata simu.
http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=1112055
http://mzansimagictv.blogspot.com/
[2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top