MPYA : HARMONIZE AMTUKANA ‘LIVE’ MENEJA WA HARMORAPA KWENYE KIPINDI CHA FNL

share upate zawadi ya kusafili na wasafi kwenda kuona show zao live

Thursday, April 6, 2017

MPYA : HARMONIZE AMTUKANA ‘LIVE’ MENEJA WA HARMORAPA KWENYE KIPINDI CHA FNL

KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++
KUONA VIDEO BOFYA PICHA HII HAPA CHINII


Taarifa iliyotolewa na Kituo cha East Africa Television kupitia ukurasa wao wa Twitter imeeleza kuwa, Msanii kutoka WCB, Harmonize ilikuwa awepo kwenye kipindi cha FNL cha televisheni hiyo usiku huu, lakini ameingia mitini baada ya kumuona meneja wa msanii Harmorapa maeneo ya studio hizo.
Inadaiwa kuwa baada ya kumuona meneja wa Harmorapa, msanii Harmonize amemuoneshea kidole cha kati ambacho hudaiwa kuwa ni ishara ya tusi kisha akaondoka maeneo ya studio hizo. Aidha Harmorapa amelaani kitendo hicho cha udharirishaji na kudai kuwa Harmonize amemtukana bosi wake kwa kumuonyesha ishara ya kidole cha kati baada ya kukutana.
Kwa upande wao, kituo cha EATV, kupitia Twitter kimeomba msamaha kwa watazamaji wake wote kutokana na kitendo hicho cha aibu kilichofanywa na msanii huyo.
http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=1112055
http://mzansimagictv.blogspot.com/
[2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top